Job 30:9-10


9 a“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo;
nimekuwa kitu cha dhihaka kwao.

10 bWananichukia sana na kujitenga nami,
wala hawasiti kunitemea mate usoni.
Copyright information for SwhKC